Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Tukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.

Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya.

Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna.
TP MAZEMBE na ESPERANCE wamepita ugenini
 
Tukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.

Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya.

Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna.
Sasa wapige kelele ili iweje?Ninyi endeleeni kudai mmeonewa.
 
Mmevurugwaaaaa..
Sasa toka usiku hamlali ooh goli goli asubui mmeamka nalo...page za caf zote na mamelode mmejaa nyie na malalamiko yenu na mitusi....tumewaachia mlalamike maana mliwapokeaga wenyewe wasauzi leo wamewababua...
Ss hatuna stress..stress mnazo nyie wa kina mwakarobo Jr...
🤣🤣🤣😂😂 Jiran yangu ananikwepa, hataki nimtanie
 
Sasa si kila mtu kafa kivyake..yaani kutolewa kwenu kuwe kunatuhusu sisi... Au tuliwashika miguu msifunge penati.
Shangaa nawee hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmevurugwaaaaa..
Sasa toka usiku hamlali ooh goli goli asubui mmeamka nalo...page za caf zote na mamelode mmejaa nyie na malalamiko yenu na mitusi....tumewaachia mlalamike maana mliwapokeaga wenyewe wasauzi leo wamewababua...
Ss hatuna stress..stress mnazo nyie wa kina mwakarobo Jr...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.

Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya.

Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna.
Sasa mkuu unataka tuongee nini,tumetolewa mashindanoni tunajipanga jinsi gani msimu ujao tutavuka hatua hii,unataka tujadili kutolewa kwetu badala ya kupanga mikakati ya kuboresha kikosi chetu au na hilo unataka tulijadili humu? Nyie mnahangaika kwa vile ni mara ya kwanza kufika stage hii baada ya miaka 25. Situation iliyowakuta na sisi ilishatuka huko huko South miaka mitatu iliyopita.
 
Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.

Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili

1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji

Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.

Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.

Nawasilisha
 
Na nyie hao vijana wamefanya nn? Kina bacca na job hata kupiga penalt hawawezi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale Kazi Yao Ni Kuzuia Mambo Ya Kufunga Fungal Na Kupiga Piga Penalty Si Mambo Yao.

Ule Tunaita Ukuta Wa Kariakoo
 
SIMBA OUT.

YANGA OUT.

FULL STOP PUNGUZA UZWAZWA NA KUJAZA SEVA ZA JAMII FORUM.
 
Back
Top Bottom