Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Labda Waweke historia ya kuwa wakwanza kupokea timu ngeni zinazoshiriki.Yanga ni timu ya kwanza nchini kushiriki AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
Ukubwa wa robo fainali?Yeees!!! ..nafikiri caf wamesha elewa ukubwa wa Simba...
kwa hilo wasijali watapata kile wanachokihitaji toka Simba......
na ndio maana baada ya kuona ukubwa wa Simba wakaamua michuano hiyo ianzie kwenye ardhi ya Simba(Tanzania)