Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Uongozi wa timu ya Soka ya Simba mapema leo wamekutana na wajumbe kutoka AFRICAN FOOTBALL LEAGUE kwa ajili ya kujadili sherehe za Ufunguzi wa Michuano ya African Football League mwezi October 2023 itakayofanyika jijini Dar es Salaam.
Ikumbukwe kuwa timu ya Soka ya Simba ndiye mwakilishi pekee wa Michuano hii.
Ikumbukwe kuwa timu ya Soka ya Simba ndiye mwakilishi pekee wa Michuano hii.