Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia.

2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa tabia.

3. Ulevi wa Kupindukia (uliopitiliza) akiwa na ' Washkaji ' zake ' Kiulevi ' Stamili Mbonde wa Prisons FC na Adam Adam (aliydkuwa akiichezea JKT Tanzania (sasa kapata Timu nchini Misri au Morocco).

4. Kudekezwa na kupendwa kwa kupitiliza na Mwekezaji Mo Dewji (ambaye muda mwingine huwa anampa hata Pesa) Mkude kufanya ayafanyayo akijiamini kuwa Yeye ni zaidi ya Simba SC na ni Mwandamizi hasa.

5. Kutopenda Kupumzika hasa wakiwa Kambini kama Wachezaji wenzake huku muda wote tu akipenda 'Kuzurura' katika Maskani zake za Kawe, Sinza na Mwananyamala huku Usiku akipenda Kutoroka kwenda katika Kumbi za Starehe kuruka 'Majoka' ambayo nayo anayapenda vile vile.

Huko ' Muhimbili ' mnapoteza tu muda.
 
Yaani Kuna mitoto mijinga dunia mie nalipa mshahara likafanye kazi yangu na Nyumba ya bure alafu linaishia kuwanyatia watu wengine na vingine visivyomhusu looh🤣🤣🤣
 
Last time mkataba wa Mkude ulivyoisha Simba akawa anahusishwa kwenda Yanga kulimfanya MO amlee Mkude kama mtoto, alipomuita ofisini kwa ajili ya mkataba mpya Mkude alikuwa anaonekana kama nembo ya Simba.

Matokeo yake ndio haya jamaa kawa hovyo mlevi kupitiliza ameshindwa kujua ni muda gani afanye starehe na muda upi autumie kwa ajili ya timu.
 
Mwachen aje yanga apumzike mbona wachezaj kibao wanalewa lakn mmekazana mkude mkude au kwa kua ni shabiki wa yanga kama Haruna Chanongo mlivyomfanyia
 
1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia.

2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa tabia.

3. Ulevi wa Kupindukia (uliopitiliza) akiwa na ' Washkaji ' zake ' Kiulevi ' Stamili Mbonde wa Prisons FC na Adam Adam (aliydkuwa akiichezea JKT Tanzania (sasa kapata Timu nchini Misri au Morocco).

4. Kudekezwa na kupendwa kwa kupitiliza na Mwekezaji Mo Dewji (ambaye muda mwingine huwa anampa hata Pesa) Mkude kufanya ayafanyayo akijiamini kuwa Yeye ni zaidi ya Simba SC na ni Mwandamizi hasa.

5. Kutopenda Kupumzika hasa wakiwa Kambini kama Wachezaji wenzake huku muda wote tu akipenda 'Kuzurura' katika Maskani zake za Kawe, Sinza na Mwananyamala huku Usiku akipenda Kutoroka kwenda katika Kumbi za Starehe kuruka 'Majoka' ambayo nayo anayapenda vile vile.

Huko ' Muhimbili ' mnapoteza tu muda.
Duh...
Ronaldinho Gaucho alikuwa na tabia mbaya, lakini skills zake hamna wa kumlinganisha naye hadi sasa
 
Ataishia kama Boban
HAPA KWA BOBAN, UMENIKUMBUSHA KITU. KAMA HARUNA ANGEKUWA ANAJITAMBUA, HII INGEKUWA NI NEMBO YA TAIFA. TUNGEJIVUNIA SANA KUWA NA MTU KAMA HARUNA MOSHI (BOBAN). LAKINI NDIYO HIVYO TENA
 
Kama Mkude ana hizo tabia,mbona uwanjani bado anafanya vizuri? Mara mzinzi,mlevi,mzururaji nk.Kuna walakini hapa.
 
Back
Top Bottom