Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Ni maisha ya kazi zao, kwan huko huwa hamfukuzi makocha?Hata Robertinho na Benchika walisomea ukocha na ni taaluma zao.
Lakini mliwatimua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maisha ya kazi zao, kwan huko huwa hamfukuzi makocha?Hata Robertinho na Benchika walisomea ukocha na ni taaluma zao.
Lakini mliwatimua.
Duu hata kama mwalimu anakosea basi nasisi tukosee yaani tufikirie anavyotaka yeye, mnanikumbusha zidumu fikra za..............Kama huo utumbo waliocheza ndio ulifanya tukatoka suluhu ugenini basi ninaomba waendelee kucheza utumbo huo huo kila wakiwa ugenini ili tuendelee kupata suluhu ugenini.
Endelea kuangalia mpira hivyo hivyo ila wengine tunaangalia tofauti kwahiyo na maoni lazima yawe tofauti cha msingi tu jifunze kuheshimu hoja na maoni ya wenzako ili nawe maoni n ahoja zako ziheshimiwe.
Nyie Utopolo mlipata nafasi ngapi..mkafunga goli ngapi?!Mpira wa kushindwa kupiga hata pasi 7 kwa usahihi?
Mpira wa kushambuliwa mwanzo mwisho?
Mpira wa kushindwa hata kutengeneza nafasi?
Mpira wa kushindwa kupata hata on target moja?
Wachezaji hata unyumbulivu hawana?
Kweli kabisa hata walivyokuwa wanapoteza pasi kizembe ulikuwa mkakatiSimba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa ubingwa Al Ahly ya Misri,Unacheza kwa malengo sio tu ilimradi na kiwango kile naiona Simba ikifika mbali sana tena ikiwezekana hata kombe watachukua.
Halafu mnaombeza Fadlu Davis kwa kumuacha nje Mukwala na kumuingiza Valentino Mashaka naomba niwaambie ukocha ni taaluma na watu wanasomea kwahiyo muacheni Mtaalamu Fadlu afanye majukumu yake kwa taaluma yake.
Uto pole mtani! nyie mmetolewa jasho na katimu kabovu kasikokuwa hata na mashabiki!!Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa ubingwa Al Ahly ya Misri,Unacheza kwa malengo sio tu ilimradi na kiwango kile naiona Simba ikifika mbali sana tena ikiwezekana hata kombe watachukua.
Halafu mnaombeza Fadlu Davis kwa kumuacha nje Mukwala na kumuingiza Valentino Mashaka naomba niwaambie ukocha ni taaluma na watu wanasomea kwahiyo muacheni Mtaalamu Fadlu afanye majukumu yake kwa taaluma yake.
Mnamsikiliza Ahmed Ally ambaye anawapamba na kuwapa moyo tu na inaonekana siyo mtu wa mpira kabisa.Kama huo utumbo waliocheza ndio ulifanya tukatoka suluhu ugenini basi ninaomba waendelee kucheza utumbo huo huo kila wakiwa ugenini ili tuendelee kupata suluhu ugenini.
Endelea kuangalia mpira hivyo hivyo ila wengine tunaangalia tofauti kwahiyo na maoni lazima yawe tofauti cha msingi tu jifunze kuheshimu hoja na maoni ya wenzako ili nawe maoni n ahoja zako ziheshimiwe.
Simba hata ikikaa nyuma LUPASO bado itashinda hiyo mechi ndani ya dakika 90 wala Al Ahly hawatapata hiyo sare unayoombea itokee ili uje useme Si niliwaambia? Inshaallah Simba itashinda kwasababu tuna silaha hatukuzitumia kabisa away kama AWESU AWESU na MUKWALA kwahiyo mechi ya Marudiano ni mechi nyingine kabisa kiufundi na kimbinu.Mnamsikiliza Ahmed Ally ambaye anawapamba na kuwapa moyo tu na inaonekana siyo mtu wa mpira kabisa.
Sare ambayo ingekuwa nzuri ni ya MAGOLI.
Sare ya bila goli ni mbaya Sana maana Al Ahly wakipata sare yoyote ya magoli kwa Mkapa, Simba OUT.
Na ukiona Simba ilivyocheza na Al hilal (Sudan) na Al Ahly Tripoli inaonesha ni timu ya pili.
Kwa vyovyote hata kwa Mkapa Simba itakaa nyuma ya mpira, kulinda. Mijamaa ya Tripoli inakaba, inakimbia kinoma.
Aliyewadanganya Simba ni vijana ma Tripoli ni wazee awaombe msamaha