GE2025 Simba SC wamesaidia kusambaza taarifa ya Maandamano na MO 29 ikimaanisha Maandamano Oktoba 29. Hutaki kula jiwe!

GE2025 Simba SC wamesaidia kusambaza taarifa ya Maandamano na MO 29 ikimaanisha Maandamano Oktoba 29. Hutaki kula jiwe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni
M - Maandamano
O - October
29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe!

Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano. Ukija na tafsiri yako nyingine hiyo ni yako, cha muhimu ujumbe umefika🌚🌚🌚


​
 
MO29 hakuna kupoa mpaka kieleweke

Hivi washamaliza vitisho au bado? Kwanza nani wa kutisha mwingine kama jeshi tayari na hatuogopi nani bado

Washamaliza rushwa au bado?

Au watajutia kututia umasikini tumekosa hela ya kununua woga wanaotulazimisha tununue

#MO29 kila mpenda haki atakuwepo
 
Halafu tuna sabuni mahususi za kuwaosha kwa dodoki la chuma mafisadi na watekaji wote.
 
MO29 hakuna kupoa mpaka kieleweke

Hivi washamaliza vitisho au bado? Kwanza nani wa kutisha mwingine kama jeshi tayari na hatuogopi nani bado

Washamaliza rushwa au bado?

Au watajutia kututia umasikini tumekosa hela ya kununua woga wanaotulazimisha tununue

#MO29 kila mpenda haki atakuwepo
Bado vitisho na mauaji yanaendelea.... ya mwisho ni hii juzi vijana wanne bodaboda waliochukuliwa na wasiojulikana wakapatikana Mapinga wakiwa wameuliwa
 
Back
Top Bottom