Bado vitisho na mauaji yanaendelea.... ya mwisho ni hii juzi vijana wanne bodaboda waliochukuliwa na wasiojulikana wakapatikana Mapinga wakiwa wameuliwaMO29 hakuna kupoa mpaka kieleweke
Hivi washamaliza vitisho au bado? Kwanza nani wa kutisha mwingine kama jeshi tayari na hatuogopi nani bado
Washamaliza rushwa au bado?
Au watajutia kututia umasikini tumekosa hela ya kununua woga wanaotulazimisha tununue
#MO29 kila mpenda haki atakuwepo