Simba SC wameshindwa kuwafunga Watoto

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Wameingiza uwanjani kikosi chao cha kwanza kamilifu woooote... kuanzia Manula..palikosekana mchezaji mmoja tu Banda ambaye yupo nchini kwao Malawi

Tofauti na Yanga waliocheza na timu ya Kmkm ambayo ndio timu inayoongoza ligi ya Zanzibar angalau ilionyesha kupambana na kushambulia japo kikosi cha Yanga kilichotumika ni vijana wadogo wengi wao wapya na wale wasiopata namba mara kwa mara.

Cha kujiuliza hapa je, hii simba, kama imeshindwa kufurukuta kwa wale madogo
Kweli itafika fainali?
Itaweza chukua taji?
Hata huko shirikisho itakuwaje?
Jamani jamani...haya...

Ni mimi shabiki wa Mbeya city lia lia

Nawasilisha
 
Mkuu bado tunajiuliza swali hili la msingi.
 
Nyani haoni kundule. Nyie Utopolo mmeishinda KMKM? Au unaropoka bila kushirikisha medulla oblongata yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…