Simba SC Wanakwama Wapi?

Utopolo ina mafanikio gani ya kujivunia hadi Simba aige? Yaani ununue wachezaji hadi Congo huko halafu ujivunie ubingwa wa NBC ,ubingwa ambao mmechukua zaidi ya 20 lakini bado mkawa omba omba.
 
Unavunjanja mkataba kwa mchezaji lonyalonya??, Unapoambiwa mchezaji kavunjiwa mkataba ujuwe yupo vizuri....
Hujui kitu mifano ipo mingi tu acha kukaa hapo utopoloni fungua bichwa sio kila chenye bei ghali ni kizuri
 
Watanzania tunalazimishwa tukubali huyu Bwana ni fundi wa mpira, kuna maelezo mengi sana na inatumika nguvu kubwa sana kutufafanulia ubora wake, miaka 5 kacheza timu 8, msimu mmoja alicheza timu 3 tofauti, fundi amekaa msimu mzima bila timu, karibu Tanzania fundi wa mpira. [emoji23][emoji4][emoji24]
 
umelazimishwa na nani?hebu tukuulize wakati CHAMA anasajiliwa takwimu zake zilifurahisha?MIQ JE?KANOUTE JE?Tuache muda uongee,acheni ulozi,MORRISON alisajiliwa akitokea wapi?alikuwa anacheza?
 
Tupe historia ya miqusson kabla ya kuja simba na baada ya kwenda ahly?..alionekana mbovu na sasa anaonekana mbovu vipi unaamini miqusson ni mbovu?
 
Tupe historia ya miqusson kabla ya kuja simba na baada ya kwenda ahly?..alionekana mbovu na sasa anaonekana mbovu vipi unaamini miqusson ni mbovu?
 
Kwanini viongozi wetu hawana akili yani wanaleta mchezaji hovyo hovyo na kocha ajui sasa si bora wangemuachia kocha alete mvhezaji bora kutoka Uganda kuliko Viongozi kuokota wachezaji na wakuleta, kocha akisema hana mipango naye je
 
Misimu mi 5 mchezaji kacheza mechi 23 asee
 
Jamaa ni fundi kweli yaani misimu mi 5 kacheza mechi 23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…