Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga.
.
Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani.
.
Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani.
.
Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una matokeao ma3.
.
Maana yangu ni kwamba team yoyote inayojua, Ushindi Wa Kwanza au Wa Mwisho Wa Kujihakikishia Kusonga mbele ni uwanja wa Nyumbani Kwenu.
.
Huwezi Kujihakikishia kushinda uwanja wa Ugenini Kama Uwanja Wa Nyumbani Wa Nyumbani umeshindwa.
.
Mimi sizungumzii Habari ya Kwa Mkapa hatoki Mtu nazungumzia Utawala wa uwanja Wa Nyumbani+Kutoka na Matokeo Ambayo ni Sahihi Kwa team ya Nyumbani.
.
Matokea ya kushinda uwanja wa Ugenini ni Matokea ambayo hayana uhakika zaidi.
.
Shida ni Kwamba Goal Moja halinaga Guarantee Kabisa.