Simba SC washindwa kumpa "Thank you" Sawadogo kutokana na masharti ya mkataba

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni

"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"

Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.

Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.

Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.

Nawasilisha hoja
 
Ila Viongozi pale Simba wana matatizo sana s.Ujanja ujanja mwingi usio na faida.Na usajili wa mwaka huu watayarudia tena ya mwaka jana.Mchezaji mwenyewe alikuwa(Sawa Dog)Wala alikuwa hachezi huko kwao ona Sasa anavyowagarimu
 
YANI wanaiwaza Simba tu.....

MNYAMA atakuwa anawakuna kisawasawa.....
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Vipi nyinyi Yanga mmeshavunja mkataba na lile beki lenu la Chan, Mamadou Doumbia au ndio mtakufa na tai tu hadi mkataba wake uishe?
 
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni

"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"

Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.

Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.

Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.

Nawasilisha hoja
Mkataba kama wa DP World
 
Si wana dola 2.5m ,watoe mia saba ambazo ni sawa na kama dola 340K fulani. Ila mwamba kawaambua ana viberiti vya kutosha so msimu ujao atauwasha moto.
Screenshot_20230516_113557_Instagram.jpg

Huyu naye sijui anadai kiasi gani.
Screenshot_20230626_150917_Instagram.jpg
 
Endapo Simba sc watavunja mkataba wa Sawadogo itabidi wamlipe kitita Cha shilingi milioni Mia Saba na chenchi (700) mil lakini Simba sc wakimuuza kwenda kwenye timu nyingine itabidi wamlipe kitita Cha bilioni moja na ushehe 1.4bilioni

"Niliitwa na viongozi kwa ajili ya kumalizana nao ili niweze kuvunjiwa mkataba nilikubali lakini niliwaambia wafuate masharti ya mkataba"

Viongozi wa Simba sc suala la Sawadogo ni pasua kichwa kila wanapokumbuka mashart ya mkataba.

Maoni yangu: hakuna mchambuzi anayeliongelea hili kwa kua ni Simba sc wachambuzi wote wa mchongo wanapita Kama hawalioni.

Haya endeleeni kushupaza shingo kuhusu uvumi wa Yanga sc kufungiwa kusajili huku Sawadogo kawakaba Koo.

Nawasilisha hoja
guvu moja matesoni kye kye kyeee
 
Mimi naamini kwamba Sawadogo ni mchezaji mzuri sana, shida ni match fitness na kuzoea league, kama hatabaki Simba atakuja kuprove watu wrong, tunza hii comment
 
Back
Top Bottom