Simba SC wasiposhinda mechi zao kwa AS Vita basi watatoka makundi na point 0

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Simba Sc maarufu kwa majina yao ya wamatopeni toka kipindi cha Jerry Muro, na kwa sasa wanatambulika kama Paka Fc/ Mikia.

Hawa jamaa wasiposhinda mechi zao zote mbili kwa As Vita basi hawana mchezo mwingine tena watashinda wala kutoa sare.

Hivyo basi point zao zipo mikoni mwa As Vita kama si hivyo basi mtatoka na point sifuri maana hamna timu nyingine mtaifunga.

Kila la kheri watani katika kukusanya point hizo za As Vita pekee au kutoka na sifuri/sufuri.

Nawasilisha.

Cc: Kichwa Kichafu
 
He he Utopolo tena yaaani wamekua mawakala wa Simba kiliko wana Simba wenyewe
 
Kwani yanga atacheza al ahly tarehe ngapi
Waulize hao Al Ahly wakuambie kati ya Mwamedi Fc na Yanga wanamuogopa nani!

Miaka michache iliyopita, waliokolewa na Said Bahanuzi baada tu ya kukosa mkwaju wa penati ya mwisho ya kumaliza mchezo!
 
Hebu ingia google angalia vipigo ulivyoshushiwa na al ahly
 
Waulize hao Al Ahly wakuambie kati ya Mwamedi Fc na Yanga wanamuogopa nani!

Miaka michache iliyopita, waliokolewa na Said Bahanuzi baada tu ya kukosa mkwaju wa penati ya mwisho ya kumaliza mchezo!
Kwamba utopolo inaogopwa? Ama kweli wewe ni utoplo.
 
Waulize hao Al Ahly wakuambie kati ya Mwamedi Fc na Yanga wanamuogopa nani!

Miaka michache iliyopita, waliokolewa na Said Bahanuzi baada tu ya kukosa mkwaju wa penati ya mwisho ya kumaliza mchezo!
Yaani timu ya 67 kwa ubora Afrika iogopwe kuliko iliyo nafasi ya 13? Timu inayohangaika kutambulika?! Timu inayolazimisha furaha! Utopolo mlishindwa, ila mnyama aliinyamazisha Cairo 2003, hadi leo hakuna bwege yeyote aliyejaribu, na siyo timu kutoka Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.
 
Waulize hao Al Ahly wakuambie kati ya Mwamedi Fc na Yanga wanamuogopa nani!

Miaka michache iliyopita, waliokolewa na Said Bahanuzi baada tu ya kukosa mkwaju wa penati ya mwisho ya kumaliza mchezo!
Tunazungumzia ya sasa wewe unaleta unyani wa miaka ileeee, hii unaikumbuka au ulikuwa bado mbwinde unawinda vidukwi?Kama Raja alikupapasa hivi je Al Ahly ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…