CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tulimpa senkyuu tukiwa na mashakaNilimsikia Msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally akijinadi kwa madaha akiwadanganya mashabiki kuwa Simba Sc itamuaga Jonas Mkude na kustaafisha jezi yake.
Hiyo ni kwa mbumbumbu tu wanaweza wakaunga mkono hoja ya Ahmedy Ally lakini kwa welevu Kama NALIA NGWENA hawawezi kukubaliana na hoja nyepesi hiyo iliyotamkwa na mtu asiyejua utamaduni wa Simba Sc na Yanga Sc.
Ni ngumu sana ikitokea mchezaji katambulishwa Yanga Sc/ Simba sc kurudi Tena upande wa pili ili afanyiwe sherehe ya kuagwa ni ngumu sana Tena sana na hicho kitu hakitotokea kabisa katika huu utamaduni wa timu za kariakoo.
Simba sc hamkujiandaa kumuaga Mkude Ila wazo la kumuaga lilikuja baada ya mashabiki kupiga makelele kutokana na muda aliokaa na makubwa aliyoyafanya Simba sc.
Endapo tetesi zitakua ni za kweli Mkude kwenda Yanga Sc Basi Simba sc msitegemee kumpata Mkude kwa niaba ya kumuaga Kama mnavyojinasibu.