johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Viongozi na Wachezaji wote wa Klabu ya Simba wamezuru kaburi la Shujaa Maguful na kuweka mataji ya mauwa na kupiga picha za kumbukumbu.
Meneja wa Simba SC Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa Maguful kwa mapokezi mazuri waliyopewa.
Source: Star tv
Meneja wa Simba SC Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa Maguful kwa mapokezi mazuri waliyopewa.
Source: Star tv