Simba SC wazuru kaburi la Shujaa Magufuli Chato mkoani Geita

Dah! Hawa tayari ni wapinzani
Haiwezekani Dr. Anaupiga mwingi alafu nyinyi mnashindwa hata kumpa hongela badala yake mnaleta unazi😵😵
 
Viongozi na Wachezaji wote wa Klabu ya Simba wamezuru kaburi la Shujaa Maguful na kuweka mataji ya mauwa na kupiga picha za kumbukumbu

Meneja wa Simba SC mh Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa Maguful kwa mapokezi mazuri waliyopewa

Source: Star tv
Kumbe timu inatumia usafiri wa Coaster!
 
Matumizi ya Coaster yametoa fursa adhimu kwa Makolo
 
Viongozi na Wachezaji wote wa Klabu ya Simba wamezuru kaburi la Shujaa Maguful na kuweka mataji ya mauwa na kupiga picha za kumbukumbu

Meneja wa Simba SC mh Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa Maguful kwa mapokezi mazuri waliyopewa

Source: Star tv
Shujaa alikuwa mwanaSimba. Hapo mimi na yeye tulikuwa tunaenda sawa
 
Viongozi na Wachezaji wote wa Klabu ya Simba wamezuru kaburi la Shujaa Maguful na kuweka mataji ya mauwa na kupiga picha za kumbukumbu

Meneja wa Simba SC mh Rweyemamu ameishukuru familia ya Shujaa Maguful kwa mapokezi mazuri waliyopewa

Source: Star tv
Wanajitia gundu la bure tu , halafu siku nyingine ni vema kabla ya jambo kama hili kufanyika wanachama tuhusishwe ili tupige kura .

Jiwe si wa kumuombea dua kijinga , alikuwa kiongozi Katiri sana
 
Back
Top Bottom