Simba SC wazuru kaburi la Shujaa Magufuli Chato mkoani Geita

Dah! Hawa tayari ni wapinzani
Haiwezekani Dr. Anaupiga mwingi alafu nyinyi mnashindwa hata kumpa hongela badala yake mnaleta unazi😵😵
 
Kumbe timu inatumia usafiri wa Coaster!
 
Matumizi ya Coaster yametoa fursa adhimu kwa Makolo
 
Shujaa alikuwa mwanaSimba. Hapo mimi na yeye tulikuwa tunaenda sawa
 
Wanajitia gundu la bure tu , halafu siku nyingine ni vema kabla ya jambo kama hili kufanyika wanachama tuhusishwe ili tupige kura .

Jiwe si wa kumuombea dua kijinga , alikuwa kiongozi Katiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…