Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hahahahaha, si kasema hapo source crown fm..relaxHyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
The vice versa is true.......Benkunya ameliwa kichwa na mwakalobo
Jamaa alikua anarusha mateke inakutana na mikono uku kichwa chenye upara kikitoa jasho kama kimepakwa mafuta ya nazi unafanya mchezo na mibumbumbu.Simba wamemtia stress sana huyu jamaa
Hii siku ikabidi atulie kwanza atafakari amefikaje huku🤣🤣 sidhani kama alishawahi kufikiria kwenye maisha yake atakutana na hii haliJamaa alikua anarusha mateke inakutana na mikono uku kichwa chenye upara kikitoa jasho kama kimepakwa mafuta ya nazi unafanya mchezo na mibumbumbu.
Simba sc msipo aknowledge tatizo maali lilipo na kulifanyia kazi , hata kocha atoke mbinguni kwa kikosi hiko ataondoka tu.Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Credit by crown media #CrownSportsView attachment 2975963
Maisha ni safari ndefu toka kua bingwa wa shirikisho Afrika mpaka kua kocha wa mabingwa wa Muungano..Hii siku ikabidi atulie kwanza atafakari amefikaje huku🤣🤣 sidhani kama alishawahi kufikiria kwenye maisha yake atakutana na hii hali
View attachment 2975985
Kocha la Makombe likiwa linatafakari kunyakua kombe la muungano
Sio kila kitu utakikuta official page ya Ya TeamHyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
Kwa hiyo walio ripoti kuwa Mzize analipwa 6k hawakukurupuka mweh 😂😂Misharavya wachezaji ushawahi ikuta official page
Nadhani hapa ndio alifanya maamuziHii siku ikabidi atulie kwanza atafakari amefikaje huku[emoji1787][emoji1787] sidhani kama alishawahi kufikiria kwenye maisha yake atakutana na hii hali
View attachment 2975985
Kocha la Makombe likiwa linatafakari kunyakua kombe la muungano