Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

Kila la heri kwake,hakuna alichokibadilisha kwenye timu yetu,Yule mubrazili alikuwa Bora kuliko huyu,ametutoa kwenye mbio za ubingwa,Ni aina mwalimu ambae anataka kikosi kiwe na nyota wa kiwango juu wote,kwa team zetu hizi ambazo bado zinajitafuta kiuchumi Ni ngumu kumsjili kusajili mchezaji bilion moja na umlipe mshahara milion 80!
 
Benchika alivyokuja nilimuonya asikubali kupanga apartment, akae hotelini maana makolo jawakai na watu wazuri.
Wao wanataka watu Kama chifu wa msovero.
 
Hyo habari umeitoa wapi?? Ni official page ya Simba au?
20240428_133733.jpg

Kocha Juma Mgunda na msaidizi wake Selemani Matola Kuiongoza Simba SC mpaka mwisho wa msimu huu. #CrownSports credit by crown media
 
Back
Top Bottom