Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

Kila la heri kwake,hakuna alichokibadilisha kwenye timu yetu,Yule mubrazili alikuwa Bora kuliko huyu,ametutoa kwenye mbio za ubingwa,Ni aina mwalimu ambae anataka kikosi kiwe na nyota wa kiwango juu wote,kwa team zetu hizi ambazo bado zinajitafuta kiuchumi Ni ngumu kumsjili kusajili mchezaji bilion moja na umlipe mshahara milion 80!
 
Benchika alivyokuja nilimuonya asikubali kupanga apartment, akae hotelini maana makolo jawakai na watu wazuri.
Wao wanataka watu Kama chifu wa msovero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…