Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Sijui mkuu na ndo maana nimeandika hii taarifa ni Ibrahim masud maestro nimemsikia akisema hivo.
Adel Zrane ana PhD ya Sport Science katika eneo la viungo anakosa sifa zipi ?
 
Adel Zrane ana PhD ya Sport Science katika eneo la viungo anakosa sifa zipi ?
Unachoshangaa ni nini hapo?

Nimekwambia taarifa imetoka kwa mtu ambaye ni mwana simba na ashawahi pia kuwa mjumbe.

TFF waliwaambia Simba huyo jamaa kwanzia mechi inayokuja hatakiwi kuwepo kwenye benchi.

PHD utaipata chuoni lakini ni lazima upitie pia kozi za CAF na UEFA ili upate leseni zao.
 
Huyu kocha hajawahi kukaa misimu miwili kwenye timu zote alizofundisha
 
Maybe ngoja nimpe benefit of doubt ?
 
Huu ndio mwanzo wa migogoro, kuna kila dalili timu itaanza ku-under perform
Kama watashindwa kuhimili 'pressure' kutoka kwa washabiki na wanachama ndio kutakuwa na migogoro ila kwenye mpira haya ni ya kawaida tu.
 
Benchi la ufundi la Yanga limekamilika kila idara! Tuna shida gani sisi mpaka tufikie hatua ya kumchukua kocha wa kukaa jukwaani wakati wa mechi za kimataifa, kutokana na elimu yake ya kuunga unga!!
Yanga haina mechi za kimataifa msimu huu...mchukueni tu.
 
Yanga haina mechi za kimataifa msimu huu...mchukueni tu.
Labda tumchukue ili akawe msaidizi wa Said Maulid kwenye timu yetu ya U20, au tumpeleke akawe Msaidizi wa Edna Lema kule Yanga Princess.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…