Simba sc yaanza kuchezesha kamali Kama mchongo pesa, tatu mzuka, Biko nk

Simba sc yaanza kuchezesha kamali Kama mchongo pesa, tatu mzuka, Biko nk

Nimemuambia mara nyingi sana..kuna mambo mengi sana ya Utopolo ambayo anapaswa kuyajadili lakini yeye hawezi kulala bila kuikadili Simba..hafahamu kwa kufanya hivyo an ibrand na kuipromot
Kwani hii timu ya Nan mpaka isijadiliwe??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani si hata yanga mliwaibia watu hela kwa mtindo huo juzi kati tu hapa kweli yanga wenye akili ni wawili
Kama kweli Rage alisema kuwa MASHABIKI WA SIMBA NI MBUMBUMBU,basi ni dhahiri kuwa huko Simba hakuna mzima hata mmoja. Mwenye unafuu kidogo ni mzungumzaji kwasababu ameonesha kulitambua tatizo lakini yeye hakujivua na ndio maana wajuzi wa mambo tunahukumu kuwa kule UKOLONI hakuna mzima.
 
Ilianza simba day, mkaiponda kisha mkaiga.

Ikaja mabadiliko ya uendeshaji wa timu, mkaongea sana kupitia madalali wenu, baadaye mkaiga na kuboresha.

Sasa hili la kutoa ticket za platnum kwa mashabiki wenye bahati, mmeanza kuponda, japo najua mwakani mtaiga pia. Maana kwenye matamasha yenu viongozi wenu huwa wananunua ticketi na kuzigawa bure kwa wanachama wenu.

Tunajua mtaiga tu na hili.

Mind you, hapa washindi wanajipatia huduma ya platinum
 
Ilianza simba day, mkaiponda kisha mkaiga.

Ikaja mabadiliko ya uendeshaji wa timu, mkaongea sana kupitia madalali wenu, baadaye mkaiga na kubotesha.

Sasa hili la kutoa ticket za platnum kwa mashabiki wenye bahati, mmeanza kuponda, japo najua mwakani mtaiga pia. Maana kwenye matamasha yenu viongozi wenu huwa wananunua ticketi na kuzigawa bure kwa wanachama wenu.

Tunajua mtaiga tu na hili.

Mind you, hapa washindi wanajipatia huduma ya platinum
Ukifanya tafiti ndogo tu utajua mashabiki wa Yanga wanaumia sana na mambo ya Simba, kule Yanga huwezi kukuta ubunifu zaidi kuiga Simba ndio tatizo lao.
Subiri CAF waanze kuturusha tena utaona watakavyoumia.
 
Acha kufatilia hbr za Simba kuwa Kam mm [emoji2788] kwa Sasa mm nachotaka Ni hbr za yanga tu hata timu za ulaya nimezipiga teke
 
Back
Top Bottom