Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana kesi ya kujibu Kama wakishinda wanakaribishwa tena simba wakishindwa wapate adhabu inayawastahiliMnachonishangaza kaburu na aveva mshawatosa ambao wapo ndani km viongozi wa simba ila mnajifanya km sio viongozi wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikuku cha Tshishimbi chazua jambo uwanjani
Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.
![]()
BY Thomas Ngitu
IN SUMMARY
- Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.
Kiungo mpya wa Yanga, Pappy Tshishimbi amezua minong’ono kwa mashabiki wa soka kutokana na kufunga cheni ‘kikuku’ katika mguu wake wa kushoto.
Tshishimbi aliwaduwaza mashabiki wakati aliposhikuka kwenye basi la Yanga akiwa na wachezaji wenzake na kuingia uwanjani tayari kuivaa Simba.
Kiungo huyo Mkongo alichelewa kujiunga na Yanga kutokana na matatizo yake ya kupata viza, hata kibari chake cha kuanza kuichezea Yanga kilipatikana leo asubuhi.
ADVERTISEMENT
This page might use cookies if your analytics vendor require
Nyie Malinzi na Manji mshawatoa?Mnachonishangaza kaburu na aveva mshawatosa ambao wapo ndani km viongozi wa simba ila mnajifanya km sio viongozi wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Luizio ni tatizo ktk ufungaji na kama ataendelea hivyo atapelekwa kwa mkopo Yanga fc.Omog mtoe Luzio Ndanda anatupunguzia magoli,tunataka goli 10
Unamaanisha msimu huu Yanga atafungwa na Ruvu shooting
Subiria zako za kupewaZa kununua
Amka usingizini kwanzajamani simba ndo timu bora kwa sasa duniani,ikifuatiwa na simba kids,mpaka raha!!
Dont settle for less