OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage.
Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja Casablanca na Zamaleck.
Simba ilitumia dakika 5 tu kumaliza mchezo na kutupia chap chap goli 2, huku Yanga ilicheza dakika zaidi ya 180 hawakupata hata on-target