mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ndo utaona mwaka huuHaawa warabu wakiwa nyumban hawakubali kufungwa kirahisi na kizembee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo utaona mwaka huuHaawa warabu wakiwa nyumban hawakubali kufungwa kirahisi na kizembee
Vipi una la kusema kuhusu Al Ahly?Na mwakaa huu ubingwa lazima uje msimbazi,maana al ahly hawatoboi kabisa wabovu sana.
Mkuu sisi mikia hata hatuelewwki nini tunataka,nahisi hataleo kunakufungwa kabisa.Vipi una la kusema kuhusu Al Ahly?
Ukichaa uwa unaanza taratibu kupanda kichwani baada ya kuvutia chooni cha arusha kwa mda mrefu, wenzako wamekwenda ugenini kukutana na wanaume wenzao wewe unajitapa baada ya kukutana na majimaji iliyochangamka!!! Hii timu ata ingekutana na timu za Somalia isingetoboa ni dhaifu kuliko maelezo
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage.
Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja Casablanca na Zamaleck.
Simba ilitumia dakika 5 tu kumaliza mchezo na kutupia chap chap goli 2, huku Yanga ilicheza dakika zaidi ya 180 hawakupata hata on-target
Hatimaye yametimia! Mbumbumbu fc aka Moo fc chaliii!! 🤸Mkuu sisi mikia hata hatuelewwki nini tunataka,nahisi hataleo kunakufungwa kabisa.
Vipi Al Ahly na wydad safari zao zinaelekea wapi?Al aht au wydad Casablanca mmoja safari inamuhusu
Hao wachawiVipi Al Ahly na wydad safari zao zinaelekea wapi?
yeleeuwiiii umetolewa wewe umewaacha wao.Naombea watolewe na sisi tupate kamseleleko kuingia robo na nusu