Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Pole sana Mkuu lakini unyumba kama kawa huna sababu ya kupigwa kalenda hadi June 2019.

mama watoto wangu kwao Mbeya.
kaapa nisipo-support Mneya City leo nisahau unyumba hadi June.
sina jinsi, leo inabidi tu niwe Mbeya City...uzuri wenyewe adhabu hii ni ya dk 90 tu.
wakuu, ungekuwa wewe hata kama ni Simba damu ungekubali kweli?
looooh!!
 
Ha ha kwa soka lako kama la jana na Singida Utd, naona kama kuna nyingi, labda ubadilike
Hahahaa. Mtani ila Simba na Yanga ni mechi ya kipekee. Kumbuka round ya kwanza mawazo mliyokuwa nayo halafu nini kilitokea.
 
Hata sitaki. Nimenuna hapa. Hahahaaa.
Halafu naskia ndege inaishia Ethiopia ,kuna uwezekano wahabeshi wakafanya mambo huko,na kwenye VPL tarehe29 watu wanatangazia ubingwa mgongoni kwako, wee njoo tu ujinywee zako kahawa usubirie bahati yako mwakani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…