Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Yaani ile SIMBA iliyocheza na ALMASRY watu wote waliiona halafu mtu anakwambi kila la kheri Mbeya city tena uwanja wa Taifa.

Duuuh ni halali Lwandamina awakimbie
 
Mkuu yanga 5-0 MCC
Simba 3-1mcc
Usiangalie sana hayo mambo Mpira ni mchezo wa maajabu sana.
 
Mkuu simba 4-singida0
Yanga 2-singida 4
Yanga 1-singida 1

Hapo sijagusa Mbao fc[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom