Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tupo na hatupoi. Ushindi ni jadi yetu. Simba yetu. Mwaka wetu
Umeonaeee. Mpira hauna hata upinzani?
Ni kutokana na ubora wa Simba SCUmeonaeee. Mpira hauna hata upinzani?
Hata mie naona mtani mnafanya kila juhudi. [emoji12].Bado tupo na hatupoi. Ushindi ni jadi yetu. Simba yetu. Mwaka wetu
Hahahaaa. Na wakishasikia Okwi, Adebayo basi nguvu zinawaishia kabisa.Tatizo ni mindset za timu za mikoani haziamini km zinaweza kupata matokeo zinapokutana na simba na yanga uwanja wa taifa, kwa hyo hta kabla mechi haijaanza kisaikolojia wanakuwa wamefungwa wakiingia uwanjani ni km wanakamilisha ratiba tu!!
Mmh. Mtani hata kama Simba bora ka upinzani muhimu sio mpira unalalia upande mmoja kama timu pinzani haina wachezaji uwanjani.Ni kutokana na ubora wa Simba SC
Mbao ana uhakika Wa point 6 toka Yanga Singida pia ana uhakika kwa YangaTatizo ni mindset za timu za mikoani haziamini km zinaweza kupata matokeo zinapokutana na simba na yanga uwanja wa taifa, kwa hyo hta kabla mechi haijaanza kisaikolojia wanakuwa wamefungwa wakiingia uwanjani ni km wanakamilisha ratiba tu!!
Hahahaa. Nilijua unasubiria game iishe kama juzi halafu ndio uje na maneno ya kiutu uzima. Teh teh teh.Tupo Tunapata Burudani Kutoka Kwa Mnyama aliyeapa Kumrarua Kila anaechomoza mbele Yake.
Simba 0 mbeya 1 all the best mbeya city[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Mtani ndo uwezo wao ulipofikia. Sasa Simba wafanyeje? Lazima wawachezee nusu uwanjaMmh. Mtani hata kama Simba bora ka upinzani muhimu sio mpira unalalia upande mmoja kama timu pinzani haina wachezaji uwanjani.
Kila la kheri Mbeya City. Teh teh teh.
Hahahaaa. Haya bana Mtani.Mtani ndo uwezo wao ulipofikia. Sasa Simba wafanyeje? Lazima wawachezee nusu uwanja
Hahahaa. Jamaani King. [emoji85]Si Kila Mtu anatakiwa Kheri! Wakati Mwengine Muwe Munachagua Wa Kuwatakia Kheri 😀 😀 😀
Iddi Suleiman ronaldo lazima awatwange simba Leo shem