Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Umeonaeee. Mpira hauna hata upinzani?

Tatizo ni mindset za timu za mikoani haziamini km zinaweza kupata matokeo zinapokutana na simba na yanga uwanja wa taifa, kwa hyo hta kabla mechi haijaanza kisaikolojia wanakuwa wamefungwa wakiingia uwanjani ni km wanakamilisha ratiba tu!!
 
Hahahaaa. Na wakishasikia Okwi, Adebayo basi nguvu zinawaishia kabisa.
 
Tatizo ni mindset za timu za mikoani haziamini km zinaweza kupata matokeo zinapokutana na simba na yanga uwanja wa taifa, kwa hyo hta kabla mechi haijaanza kisaikolojia wanakuwa wamefungwa wakiingia uwanjani ni km wanakamilisha ratiba tu!!
Mbao ana uhakika Wa point 6 toka Yanga Singida pia ana uhakika kwa Yanga
 
Tupo Tunapata Burudani Kutoka Kwa Mnyama aliyeapa Kumrarua Kila anaechomoza mbele Yake.
Hahahaa. Nilijua unasubiria game iishe kama juzi halafu ndio uje na maneno ya kiutu uzima. Teh teh teh.
 
Mmh. Mtani hata kama Simba bora ka upinzani muhimu sio mpira unalalia upande mmoja kama timu pinzani haina wachezaji uwanjani.
Mtani ndo uwezo wao ulipofikia. Sasa Simba wafanyeje? Lazima wawachezee nusu uwanja
 
Back
Top Bottom