Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

ona sasa.. yaani ndo unazidi kuniumiza moyo we mdada... kwa nini uwe na roho mbaya hivyo? umeipata wapi? yaani hii simba ni ya kununua mechi? au umezoea yanga inavyofanya unadhani ni team zote? please dada yangu usiendelee kuutesa moyo wangu. kwani nimekukosea nini lakini?

Sielewi Mtani au Mlungula umetembea nini? [emoji12] [emoji12]
 
Nimeumizwa sana
nimesikitika sana
nimehuzunishwa sana
nimeghadhibishwa sana
nimesononeshwa sana.

sikutegemea mdada mzuri kama wewe uwe unashabikia team tofaut na simba. siku yangu imeharibika kabisa siku ya leo.
Hahahaaa. Nimecheka sana duuh.

Pole sana Kaka.
 
ona sasa.. yaani ndo unazidi kuniumiza moyo we mdada... kwa nini uwe na roho mbaya hivyo? umeipata wapi? yaani hii simba ni ya kununua mechi? au umezoea yanga inavyofanya unadhani ni team zote? please dada yangu usiendelee kuutesa moyo wangu. kwani nimekukosea nini lakini?
Najua hiki kilio chako kitakaposhia kwa huyu dada
 
ona sasa.. yaani ndo unazidi kuniumiza moyo we mdada... kwa nini uwe na roho mbaya hivyo? umeipata wapi? yaani hii simba ni ya kununua mechi? au umezoea yanga inavyofanya unadhani ni team zote? please dada yangu usiendelee kuutesa moyo wangu. kwani nimekukosea nini lakini?
Hahahaaa. Duuh.

Kwani haiwezekani Mlungula ukatembea?

Nisamehe bure kwa kuumiza moyo wako jamaani.
 
Kwa uelewa wako na uwezo Wa chura FC Huwezi kuelewa soka LA mnyama very complex
Hahahaaaa. Labda kama ningekuwa nimeanza jana ushabiki wa mpira ila kwa kuwa nimeanza kitambo itanichukua muda sana kuelewa ulichokiandika Mkuu.
 
Back
Top Bottom