TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Kuna tundu bovu utanaswa tu. Endelea kumchekeaHahahaaa. Lol
Ila mie ni zaidi ya Sungura ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tundu bovu utanaswa tu. Endelea kumchekeaHahahaaa. Lol
Ila mie ni zaidi ya Sungura ujue.
Ufundi Ule Mtani Ulizani Ni Offiside Inamaana Refa Ajaona Kweli MtaniiiHahahaaa. Hivyo akikabwa Bocco basi Kwasi anapaswa kuzidi Mtani.
Sababu ile ni zaidi ya kubaki peke yake. Hahahaaaaa.
Hahaha. Sio rahisi kihivyo Mkuu.Kuna tundu bovu utanaswa tu. Endelea kumchekea
Hahahaaa. Marefa wetu hawa Mtani labda ingekuwa Ulaya kwenye teknolojia ya Goli ila huku kwetu mmh.Ufundi Ule Mtani Ulizani Ni Offiside Inamaana Refa Ajaona Kweli Mtaniii
Najua hiki kilio chako kitakaposhia kwa huyu dada
Kule manza bay eeh?nimemweka kiporo... siku yake ipo .. atakapokula wali, wali na sombe.
Subiri akufungulie uzi humu. Hana adabu huyo ukishanasa kwake. Waulize wenzio.Kutetemekaje tena?
Sababu kitambo tu nataniana naye na sijawahi ona madhara.
Hahahaaaa. Haya bana.Subiri akufungulie uzi humu. Hana adabu huyo ukishanasa kwake. Waulize wenzio.
Endeleeni kutujuza matokeo wengine tuna access na JF tu kwa sasa.Hahahaaaa. Haya bana.
Hahahaaa. Sawa. Ni halftime sasa.Endeleeni kutujuza matokeo wengine tuna access na JF tu kwa sasa.
Yes sisi 3 nyie 1.Hahahaaa. Sawa. Ni halftime sasa.
Wao 03 sisi 01. [emoji85]
Hahahaaa. Ndioooo. Hongera.Yes sisi 3 nyie 1.
Huo mpira mipango mitupuHahahaaa. Ndioooo. Hongera.
Umeonaeee. Mpira hauna hata upinzani?Huo mpira mipango mitupu
Dk 2 goli 3Umeonaeee. Mpira hauna hata upinzani?