Ewaaaaa. Hivyo hivyo Mkuu.Kila la Kheri Mbeya City.
Hahahaaaa. LolSimba 0 mbeya 1 all the best mbeya city[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Asalaam
Sio mzima weweSimba 0 mbeya 1 all the best mbeya city[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Sijambo Mtani. Nilitaka nikutafute na tochi ujue.Asalaam
Hahahahahahahahaha, Aya Bana Kila La Kheri Pia.Kila la kheri Mbeya City. Teh teh teh.
Hahahaaa. Namkaribia alichosema ila bado kwanza wacha nijipe jipe moyo.Hahahahahahahahaha, Aya Bana Kila La Kheri Pia.
Kuna Mwezako Leo Asubuh Kufika Tuu Sehemu Namwambia Bado Unagombania Ubingwa Akaniambia Basi Tena Nimekuachia Wewe Vipi??
Niko Mzima Nashukulu Allah, Sijuhi Kwako Mtani??Sijambo Mtani. Nilitaka nikutafute na tochi ujue.
Natumai umzima?
Nami pia sijambo Mtani. Uko Taifa nini?Niko Mzima Nashukulu Allah, Sijuhi Kwako Mtani??
Hahahaaaaa. Kama nakuona hapo Mtani.goooooooooooooo
Sio mzima wewe
Marahaba mdogo wangu mambo yako naonq unatuombea njaaShikamoo kaka bonny
Hata mi nasikia waliandika barua FIFA kudai points za Kagera SukariNasikia Simba wafunga goli ni Kweli'?
Cha kwanza tayar sie mapemaa tunamaliza shughulShikamoo kaka bonny