Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Kila la kheri Mbeya City. Teh teh teh.
Hahahahahahahahaha, Aya Bana Kila La Kheri Pia.

Kuna Mwezako Leo Asubuh Kufika Tuu Sehemu Namwambia Bado Unagombania Ubingwa Akaniambia Basi Tena Nimekuachia Wewe Vipi??
 
Hahahaaa. Namkaribia alichosema ila bado kwanza wacha nijipe jipe moyo.

Tarehe 29 ndio itaongea mtani.
 
Back
Top Bottom