Simba SC yaigaragaza Mbeya City goli 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar

Ee ili yanga apatepo ka miujiza ka kutwaa kombe. Adui kuombeana njaa muhimu

Oopsss afadhali maana ningepata laana kumuumiza moyo kaka angu mpendwa
Ha ha ha ha sio kwa kujifarji huko aiseee
Et upate laanaa ha ha ha
 
mama watoto wangu kwao Mbeya.
kaapa nisipo-support Mneya City leo nisahau unyumba hadi June.
sina jinsi, leo inabidi tu niwe Mbeya City...uzuri wenyewe adhabu hii ni ya dk 90 tu.
wakuu, ungekuwa wewe hata kama ni Simba damu ungekubali kweli?
looooh!!
baada ya Okwi kufanya yake mama hapa kanuna ile mbaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…