Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Wacha Nikagonge Wali Kwa Kuku Sasa Manake Myama Anazidi Kuwatia Homa Chaneta FC kila leo.....
Kagoli Kamoja Lakini Tupo Juu Kwa points 4...
Kagoli Kamoja Lakini Tupo Juu Kwa points 4...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha.. Simba hii raha sana.Wacha Nikagonge Wali Kwa Kuku Sasa Manake Myama Anazidi Kuwatia Homa Chaneta FC kila leo.....
Kagoli Kamoja Lakini Tupo Juu Kwa points 4...
Yanga hachezi na Simba, wala hatacheza na Mbao wala hatacheza mechi yoyote mkoani, na atashinda mechi zake zoteSisi tunajua wapi atakwama simba kanda ya ziwa toto ipo bado ligi kuu halafu kuna simba na yanga halafu simba na azam simba na mbao
Kombe la Maulid Cup ndio kimbilio lenu kwa miaka mi4 kabla hamjaingiliwa hivi karibuni.Full Time; Simba SC 1-0 Ruvu Shooting.
Tukutane Mapinduzi Cup.
Simba ya mwaka huu haina ugenini.. popote ni nyumbani.. Sijui Baba na Mwana, Ndala na Toto, Mbao, Azam n.k.. Lazma tuwaadabishe, haijalishi tutachezea wapiSisi tunajua wapi atakwama simba kanda ya ziwa toto ipo bado ligi kuu halafu kuna simba na yanga halafu simba na azam simba na mbao
Hivi hizo timu ulizozitaja timu ipi iliifunga Simba raundi ya kwanza?Hizo ngonjera ohh watakwama mikoani tumeshazoea. Njoo na umbea mwingine.Sisi tunajua wapi atakwama simba kanda ya ziwa toto ipo bado ligi kuu halafu kuna simba na yanga halafu simba na azam simba na mbao
Hivi hizo timu ulizozitaja timu ipi iliifunga Simba raundi ya kwanza?Hizo ngonjera ohh watakwama mikoani tumeshazoea. Njoo na umbea mwingine.
Hivi hizo timu ulizozitaja timu ipi iliifunga Simba raundi ya kwanza?Hizo ngonjera ohh watakwama mikoani tumeshazoea. Njoo na umbea mwingine.
Sisi tunajua wapi atakwama simba kanda ya ziwa toto ipo bado ligi kuu halafu kuna simba na yanga halafu simba na azam simba na mbao