NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Sep 24, 2021 #21 Zanzibar-ASP said: Wajinga ndio waliwao, hao ni wahindi wanaotakatisha pesa zao kupitia Simba. Mo na wale wahindi wake ni wajanja sana. Simba kwa sasa ni kichaka cha kutakatishia pesa Click to expand... Sasa ndo umeandika nini mtani?
Zanzibar-ASP said: Wajinga ndio waliwao, hao ni wahindi wanaotakatisha pesa zao kupitia Simba. Mo na wale wahindi wake ni wajanja sana. Simba kwa sasa ni kichaka cha kutakatishia pesa Click to expand... Sasa ndo umeandika nini mtani?
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,398 Reaction score 3,691 Sep 24, 2021 #22 Huu mkataba ni wa mda gani? Miaka mingapi?