NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sasa ndo umeandika nini mtani?Wajinga ndio waliwao, hao ni wahindi wanaotakatisha pesa zao kupitia Simba. Mo na wale wahindi wake ni wajanja sana.
Simba kwa sasa ni kichaka cha kutakatishia pesa