Simba SC yaingia makubaliano rasmi ya udhamini na kampuni ya SportPesa kwa kipindi cha miaka 5

Simba SC yaingia makubaliano rasmi ya udhamini na kampuni ya SportPesa kwa kipindi cha miaka 5

Upande wenu vp mtani? Nasikia mzee YM amekataa kata kata hii dili! Hapo vp?
Hahahaaaaaa haki mzee Yahya Akilimali anazijua mwenyewe akili zake sometimes.

Sio kwamba nimekubaliana na ulichokisema,lah...tusubiri na tuone.
 
Hahahaaaaaa haki mzee Yahya Akilimali anazijua mwenyewe akili zake sometimes.

Sio kwamba nimekubaliana na ulichokisema,lah...tusubiri na tuone.
Muda si mrefu bundi ataanza kupeperusha mbawa mitaa ya Jangwani endapo kutakuwa na kauzibe kwenye hii deal ya sport pesa, najiuliza na ile quality group sijui itakaa mgongoni au ndio basi tena sipati jibu, au Manji kibarua kitaota nyasi sifahamu mimi, au maandamano ya wapenzi na mashabiki wa Yanga sitaki kufahamu mimi, mbona kazi ipo hah hah
 
Wala. Simba mpira wake keshacheza gazetini mwanzo wa msimu imebaki kwa Yanga kufanya their normal doings
I wonder zigo mnataka kutupia upande wetu...nani asiyewajua nyie na viongozi wenu pale mjengoni alias mbeleko's hah hah acheni zenu bhana! Ila muda si mrefu tutaheshimiana tu!
 
Zitaishia kwa wapiga dili kama zilivyoishia za Okwi na Mafisango
 
Back
Top Bottom