Wamerupiga gap enhee? Labda sasa watafanikiwaBreaking news indeed [emoji4]
Hahahaaaaaa haki mzee Yahya Akilimali anazijua mwenyewe akili zake sometimes.Upande wenu vp mtani? Nasikia mzee YM amekataa kata kata hii dili! Hapo vp?
Muda si mrefu bundi ataanza kupeperusha mbawa mitaa ya Jangwani endapo kutakuwa na kauzibe kwenye hii deal ya sport pesa, najiuliza na ile quality group sijui itakaa mgongoni au ndio basi tena sipati jibu, au Manji kibarua kitaota nyasi sifahamu mimi, au maandamano ya wapenzi na mashabiki wa Yanga sitaki kufahamu mimi, mbona kazi ipo hah hahHahahaaaaaa haki mzee Yahya Akilimali anazijua mwenyewe akili zake sometimes.
Sio kwamba nimekubaliana na ulichokisema,lah...tusubiri na tuone.
Mbona wasiwasi mapema hivi hah hah..mkuu vp?Huo mkataba hauizuii Yanga kuwa bingwa tena na tena.
Simba ni timu ya hovyo
Wala. Simba mpira wake keshacheza gazetini mwanzo wa msimu imebaki kwa Yanga kufanya their normal doingsMbona wasiwasi mapema hivi hah hah..mkuu vp?
I wonder zigo mnataka kutupia upande wetu...nani asiyewajua nyie na viongozi wenu pale mjengoni alias mbeleko's hah hah acheni zenu bhana! Ila muda si mrefu tutaheshimiana tu!Wala. Simba mpira wake keshacheza gazetini mwanzo wa msimu imebaki kwa Yanga kufanya their normal doings
Siyo bongo tu Africa nzimandio tatizo la soka la bongo mkuu
Africa yote ni majangaKila mtu anajali tumbo lake