OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili.
Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10.
My Take
Hapa Simba imeupiga mwingi. Karibu Simba SC mnyama Aubin Kramo.