OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Acha kunywa pombe mchana utajikojolea
Hapa umeandika kama Utopolo, sasa ongea kama mwana soka
Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili.
Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu..
Uto mwaka huu watahara damu.
Ushabiki maadazi huu sasa!
Hajacheza msimu mzima [emoji16]View attachment 2680946
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili...
Baada ya kuandika hayo, waambie watu wewe ni topoloHaja cheza msimu mzima [emoji16]
Fuatilia uone siyo kupayuka tu! Alikuwa tegemeo pale asec mimosasHaja cheza msimu mzima [emoji16]