Simba SC yamnasa mnyama Aubin Kramo

Uzi wangu wa KITAMBO guidline.

TIMU INATAKIWA IFANYE MABADIRIKO. VIONGOZI WANAPASWA WAJIUZURU NA WACHEZAJI WAONDOSHWE.

Kwanini mmepoteza Beno kakolanya kirahisi hivyo????


1. Mohamed Ottara.
2. Kanute
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Beki wa kati .1
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
 
Hongera Makolo mnajitahidi kuboresha team
Nataka muwe na team imara ili tushindane utani wa jadi udumu
Sihitaji muwe na team dhaifu kama mliyokuwa nayo
Hongera mtani makolo
 
Hivi kila kitu lazima ukisifie. Si usubiri aaze kucheza ndipo aonekane. Hayo ya Azizi K
 
1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.
Huyu sijui kama hata anatazama games au anatembea na majina ya wachezaji tu. Hapo hakuna mchezaji wa kubaki hata mmoja. Wamepewa nafasi hakuna walichofanya. Wapo wachezaji wazuri humuhumu kuliko hao. Nimetazama UMISETA Mwanza kuna watoto wanaupiga kuliko hao kina Mkude
 
Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili.

Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu..

Uto mwaka huu watahara damu.
We ndo ulkuwa hujui,angalia post yangu ya jana nmemuweka kabisa kwenye line up,na wengine utawaona hapo kama hujaskia tetesi bado
 
Hapa wamepiga chenga kali sana ya mwili.

Kulikuwa hakuna tetesi zozote za usajili huu..

Uto mwaka huu watahara damu.
Bila kutaja Yanga, maisha yenu yanakuwa magumu sana..!! Yanga inawapa MUHAHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…