permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kama kweli mnataka kushindana na TP Mazembe na Ahaly Hutu beki ni mzaha aiseee!
Hivi huyu ni mchezaji au Mwenyekiti wa baraza la wazee??
Huyu jamaa akipimwa umri akawa under 40 years, nipigwe life ban hapa JF! #ukutawawazee!
Vipi nyie hamtaki kushindana na wakina Tp mazembe? Au mmetususia.Kama kweli mnataka kushindana na TP Mazembe na Ahaly Hutu beki ni mzaha aiseee!
Manyani mnahangaika sana...,Time will tell! Simba imeanza kuokoteza wachezaji!
Sisi Lipuli FC tumeshuka daraja tunasubiri kushindana na Mashujaa Kigoma.Vipi nyie hamtaki kushindana na wakina Tp mazembe? Au mmetususia.
Eti ana miaka 27 ππView attachment 1537104
View attachment 1537105
Ni beki kisiki mwenye umri wa miaka 27 tokea Gor Mahia ya Kenya
Umeona tofauti ya protol za usajiri za Simba na Yanga. Heshimu wadhamini ndo wanaokuweka mjini
andamanaEti ana miaka 27 ππ
Mwanane wa kwanza ana miaka 22 yuko universityHivi ukimaliza high school(secondary school)unakuwa umefikisha miaka mingapi?
Joash Onyango amemaliza Shamberere High School Kakamega Kenya mwaka 2010.
Kama hujui jambo inabidi unyamaze ili kuficha ujahilia wako.
Pambaneni na babu yenu mnaleta mchezaji umri kama wa manara au kuna mikia maveterani ndio anaenda kuchezeaandamana
we inakuuma niniPambaneni na babu yenu mnaleta mchezaji umri kama wa manara au kuna mikia maveterani ndio anaenda kuchezea