Simba Sc yamsajiri beki Joash Onyango-Ukuta wa Berlin

Simba Sc yamsajiri beki Joash Onyango-Ukuta wa Berlin

At least wanakubali tunataka kushindana na TP Mazembe na Al Ahly. Hiyo ni kukubali kwamba wao sio wapinzani wetu tena.
Wao level yao ni Namungo,Biashara ya Mara na Kagera Sugar.
Inferiority complex inawatesa.
 
Utopolo mtahamahama sana lakini mficha maradhi kifo humuumbua.Kipigo kitawafanya mmbweke. Kwani punda wa nyuma anapigwa mijeledi punda wa mbele anatoa mlio wa uchungu.Utopolo tumewazoea.
 
Hivi ukimaliza high school(secondary school)unakuwa umefikisha miaka mingapi?
Joash Onyango amemaliza Shamberere High School Kakamega Kenya mwaka 2010.
Kama hujui jambo inabidi unyamaze ili kuficha ujahilia wako.
 
Nasikia Fundi Larry Bwalya anatua msimbazi, hizi habari zikoje.
Nitafurahi sana maana jamaa anamguu wa dhahabu na anautendea haki kweli katikati ya dimba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hapa Simba imelamba dume. Hakuna striker wa Al Ahly, TP Mazembe and the likes atapita hapo. 😀😀
 
Hivi ukimaliza high school(secondary school)unakuwa umefikisha miaka mingapi?
Joash Onyango amemaliza Shamberere High School Kakamega Kenya mwaka 2010.
Kama hujui jambo inabidi unyamaze ili kuficha ujahilia wako.
Mwanane wa kwanza ana miaka 22 yuko university
 
Back
Top Bottom