Simba SC yamtema rasmi Kocha wake Msaidizi Masoud Djuma

Simba SC yamtema rasmi Kocha wake Msaidizi Masoud Djuma

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
223
Uongozi wa Klabu Sumba umeuvunja rasmi mkataba na kocha wake msaidizi Irambona Masoud Djuma kuanzia leo Oktoba 8, 2018

Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya mazungumzo kwa pande zote mbili hivyo ni kwa faida ya klabu na kwa maslahi ya pande zote

Aidha, Djuma amesema kuwa hakutegemea kama siku moja angefika Simba hivyo anashukuru sana Wanachama na Mashabiki wa Simba na kuongeza kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho
=======

My take:

Hili lilijulikana wazi kutokana na matukio yaliyokuwa yakiendelea cku za hivi karibuni,Kama vile Masoud kutosafiri na timu katika baadhi ya mikoa,vilevile kutokuwa maelewano na makocha wakuu wake Kama omog,lechantre,na aussems,kwa akili ya kawaida ilijulikana Nini kitafuata,nenda Masoud djuma wewe ni kocha mzuri lakini Simba ni kubwa zaidi yako.
 
huyu jamaa alivyokua akishangilia simba inapofunga utafikiri ni timu yake Duh so mchezo kweli Mikia hamna shukurani
 
Mbumbumbu ni mabingwa wa kufukuza makocha. Hata huyu wa sasa ataondoka tu mwisho wa msimu huu au mwanzo wa msimu ujao
 
Kufukuza kwake inawezekana ikawa mtego kwa kocha mkuu maana mpaka SAS hana rekod nzur hata kdg NA yangu apewe TIMU hakuna mabadiliko yoyote,weeee subr atoke droo Wa mech mbil utaona moto NA tyr amewasha moto kwa kumtoa kipenz cha mashabiki Wa simba NA wachezaj wanamupenda sana kwahy ameanzisha moto mwenyewe
 
Back
Top Bottom