Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.

"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"

"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu.

©️ Imani Kajula Via Efm radio.
 
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.

"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"

"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu

[emoji2399] Imani Kajula Via Efm radio
Mechi ngumu ipi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Walioombwa ni TFF wanaolalamika ni Utopolo.
Yanga wenye akili ni waili tu. Wataje
1...............................................................................

2..............................................................................
 
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.

"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"

"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu

©️ Imani Kajula Via Efm radio
Hii mechi ya singida ipelekwe tar10 kutoka tar8.
 
Walioombwa ni TFF wanaolalamika ni Utopolo.
Yanga wenye akili ni waili tu. Wataje
1...............................................................................

2..............................................................................
mimi pia shabiki wa Simba ila huu ni ujinga Al Ahly wana mechi tarehe 4 na 8 baada ya hapo wanacheza na Simba tena wao wana safiri Simba atakua nyumbani kumbuka hizo mechi zinapo sogea huko mbele itakua kila baada ya siku mbili mechi na kikosi chenywewe ndio hicho cha kauka nikuvae
 
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.

"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"

"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu

©️ Imani Kajula Via Efm radio
Hapana tunahitaji mechi fitness ya nguvu tucheze hizo game zote
 
Kama hii taarifa ni kweli basi bodi ya Simba inapaswa kujiuzulu haraka sana kwani itakuwa imejaa watu wasiojua mpira kabisa. Kwa watu wanaofahamu mpira basi Simba ilitakiwa kati ya tarehe hiyo 8/10/2023 na 20/10/2023 ipate mchezo mwingine mgumu wa ligi tena ingeomba TFF iwapangie mechi na timu kama Azam ili timu iwe vizuri kukutana na hao Al Ahaly. Hivi hao jamaa hawajajifunza tu kilichotokea wakati wanatolewa na Jwenang Galaxy? Kweli huu ni mwaka mwingine wa taabu kwa mashabiki na wapenzi wa Simba.
 
mimi pia shabiki wa Simba ila huu ni ujinga Al Ahly wana mechi tarehe 4 na 8 baada ya hapo wanacheza na Simba tena wao wana safiri Simba atakua nyumbani kumbuka hizo mechi zinapo sogea huko mbele itakua kila baada ya siku mbili mechi na kikosi chenywewe ndio hicho cha kauka nikuvae
Kwani Al Ahly ni Simba? Hebu acha kuwapangia viongozi wa Simba vitu vya kufanya. Al Ahly ni Al Ahly na simba ni simba. Kila mmoja ana mipango yake.
 
Sawa kabisa, Singida ni moja ya timu iliyo na historia ya kuumiza wachezaji wetu. Utopolo msijalli sana, tutacheza nao tu baada ya Super League.
 
Back
Top Bottom