Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

Kwani Al Ahly ni Simba? Hebu acha kuwapangia viongozi wa Simba vitu vya kufanya. Al Ahly ni Al Ahly na simba ni simba. Kila mmoja ana mipango yake.
Hao power dynamo kipindi sisi huku tumesimama kucheza ligi wao walikua wanacheza nini cha ziada ulikiona? na kama Al Ahly sio wenzetu tume enda kucheza AFL kutafta nini?
 
Hao power dynamo kipindi sisi huku tumesimama kucheza ligi wao walikua wanacheza nini cha ziada ulikiona? na kama Al Ahly sio wenzetu tume enda kucheza AFL kutafta nini?
Kila timu inamipango yake mzee. Usilazimishe kila jambo lifanane. Wewe ni KE au ME?
 
hawa jamaa majinga sana imani gani tena wakati uwezo wa kocha robertinyo ndio umefika mwisho kabisa pale..
Kwani wewe ndio TFF? Kama haushiriki AFL aka Super League, hauna haki ya kuzungumza
 
Kama tuna mipango yetu tusinge enda kucheza hio ligi, kuhusu jinsia mimi ni mme wa dada yako
Usilazimishe mzee watu wafanane. Kumbe mwanaume!!! Mbona tabia zako za kike kike kujilinganisha na wengine?
Ni wanawake pekee wanaopenda mashindano ya kijinga kama yako haya.
 
Usilazimishe mzee watu wafanane. Kumbe mwanaume!!! Mbona tabia zako za kike kike kujilinganisha na wengine?
Ni wanawake pekee wanaopenda mashindano ya kijinga kama yako haya.
Moja ya sifa ya mwanaume ni kupambana sio kujielegeza chukua hio young boy! mchezaji kazi yake ni kucheza mpira ndio maana wanalipwa mamilioni uliona kazi gani mtu anapumzika siku 10 hayupo likizo? sisi huku ground tunapiga kazi Monday to Sunday
 
Usilazimishe mzee watu wafanane. Kumbe mwanaume!!! Mbona tabia zako za kike kike kujilinganisha na wengine?
Ni wanawake pekee wanaopenda mashindano ya kijinga kama yako haya.
Moja ya sifa za mwanamke ni woga kama wewe
 
Mashabiki wapumbavu kama wewe ndio mtaji wa viongozi tume cheza na Singida mechi ngapi ambazo wachezaji wetu wameumizwa?
Mashabiki wapumbavu kama wewe upo upo tu hujui lolote. Luc Emeyel aliwapa majina mnayostahili
 
Mashabiki wapumbavu kama wewe upo upo tu hujui lolote. Luc Emeyel aliwapa majina mnayostahili
Wewe ndio hao nyani mlio kua mnatajwa, tumecheza na Singida mechi ngapi na mara ngapi wachezaji wetu wameumia? hakuna mchezaji wa timu pinzani kasha umia akiwa anacheza na Simba?
 
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023.

"Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya mashabiki na wanachama"

"Tuna ratiba ngumu sana, tutacheza na Tanzania Prisons October 5 ugenini, kisha Singida fountain gate ugenini October 8 halafu Al Ahly October 20. Tungeomba bodi ya ligi ituondolee mchezo dhidi ya Singida fountain ili tuweze kujiandaa vizuri na wachezaji wapumzike kwa sababu wametoka kwenye mechi ngumu

©️ Imani Kajula Via Efm radio
Hata mngeondoa zote kipigo kipo pale pale
 
Back
Top Bottom