Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

They are not serious at all. Kutoka tarehe 8 mpaka hiyo tarehe 20 kuna siku ngapi za maandalizi?

Nitawashangaa sana hao Bodi ya Ligi kama watakubaliana na na sababu za kipuuzi kama hizo.
 
Wawasaidie tu wasogeze hiyo mechi mbele na ikiwezekana nyingi zaidi, ili huko mbele waje wacheze kila baada ya siku Moja. Ujinga umekuwa mwingi timu ina siku 10-12 bado wanaomba mechi iahirishwe.
 
Kwani Al Ahly ni Simba? Hebu acha kuwapangia viongozi wa Simba vitu vya kufanya. Al Ahly ni Al Ahly na simba ni simba. Kila mmoja ana mipango yake.
Nyie nimambumbumbu kwan mnasahau mnajiita tim kubwa
 
Upumbavu

Ulaya Timu inacheza Jmos, Jumanne/JTano, inacheza Jumamosi, Inacheza Jumatano, inacheza Jumapili.

Tuache mambo ya ajabu, ndo maana mpira wa Afrika hauendelei
Mtu anapiga ligi Jmosi, J4 anaingia UEFA tena mtoano, au robo au nusu fainali.
 
Utimamu wa akili za Viongozi Sasa umedhihirisha Shaka waliyonayo mashabiki juu Yao. Kwa hiyo mnataka mpewe pre season nyingine? Tarehe 5 Hadi 20 ni siku 16 kama Mechi ya Singida itaondolewa. Kukaa siku 16 bila Mechi ya kimashindano ni hasara Kwa timu kuliko faida ya mazoezi ya Peke yenu. Hivi wenzetu mnawaza Kwa kutumia nini? Haya ni mapendekezo ya Kocha kweli au ya Ahmed Ally na Kajula?
 
Hawa Singida ni tawi la Yanga, Simba wanahofia majeruhi ya kukusudia, wameshampoteza Inonga, wakipoteza key player mwingine ni kutakuwa ni pigo kubwa sana
 
CEO mjinga sana, uahirishe mechi kwa ajili ya bonanza la CAF..!!
 
Haiwahusu. So waache kupiga kelele.
Timu yako mbovu hata mkipewa mwaka mtapigwa tu, world cup na UEFA champions League timu hua hazipumzishwi mda wote huo ili kucheza final nyie mnajilegeza kama mademu kwa hio huko AFL mtakua mnapumzika siku 10 kila mechi ligi itaisha lini?
 
Timu mbovu ipo group Stage. Acha bange kuvutia chooni.
 
Timu yako mbovu hata mkipewa mwaka mtapigwa tu, world cup na UEFA champions League timu hua hazipumzishwi mda wote huo ili kucheza final nyie mnajilegeza kama mademu kwa hio huko AFL mtakua mnapumzika siku 10 kila mechi ligi itaisha lini?
Bange mbaya. Kati ya timu 16 bora Africa Simba imo. Wewe utakuwa kichaa.

Hapo group stage timu gani imepita kwa kanuni ya goli la ugenini?
Sasa kinachokuwasha nini. Tukutane Group Stage. Hayo magoli mengi yamewasaidia nini?
Hakuna mfugaji bora kwenye Stage za awali. Tunaanzia kuhesabu wafungaji bora kuanzia group stage.

Nyie Yanga bado washamba wa Champion League. Kaeni kwa kutulia EBO

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…