nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Huwa hizi data mnazitoa wapi.
Nakuletea zilizo sahihi. Sasa
Yanga mko nafasi ya 45. Mmezidiwa na Mbabane ..Huwa hizi data mnazitoa wapi.
Nakuletea zilizo sahihi. Sasa
achana na hzio za 5 year ranking latest ni hiyo hapo niliyoweka ,naangalia hata ya FIFA hapa simba ni ya 398 duniani mazembe ya 302 sevilla ya 11
tul;ia bwana mdogo leo nikuipe somo ukhadithie kwenu huko yaani data zako unachukulia kwa hao wehu wa football database?Hii nikwa mujibu wa Tarehe 26 may 2019
Mjomba endelea kulala,inaonekana umekurupuka toka ndotoniAcha uongo
Nakushushia nondo sasa.
Mimi ninekuwekea updates za masaa 3 yaliyopita baada ya Esperance kutwaa ndoo. Ingia hiyo link isome taratibu mpaka mwishoHii nikwa mujibu wa Tarehe 26 may 2019
HAO FOOTBALL DATABASE WANAWEKA WAO KWA UTASHI WAO ILA SISI TUNAFATA ZINAZOTOLEWA NA VYOMBO HUSIKA KWA MFANO WAO FOOTBALL DATABASE WANABADILISHA KILA WEEK KWA KUANGALIA TEAM ILIYOCHEZA WANAFATILIA MECHI ZILIZOPO NDIYO CRITERIA YAOHii nikwa mujibu wa Tarehe 26 may 2019
anachukulia football database maskini ya Mungu wakle wehu wana data zao wanabishana hadi na FIFA...FIFA wametoa latest barcelona namba moja wao hao jamaa wanakuambia liverpool ndo namba moja dunianiMjomba endelea kulala,inaonekana umekurupuka toka ndotoni
sasa ndugu FIFA ya 27 may 2019 kamuwekla barcelona namba moja hiyo source yako imemuweka liverpool na hata point zao ni tofauti na za FIFA na CAF unataka tumuamini nani?simba inatambulika na CAF kama namba 20 na namba moja east and central africa,duniani inatambuliwa kama namba moja east nd central africa na FIFA ikiwa namba 398 ,tpmazembe ya 302 .LABDA MO DEWJI ALIHONGA HELA HUKO CAF NA FIFAKama ni hivyo kwa nini Namba 1 ni Tp wakati no. Ni Esparance
Sevilla wakumi na moja kivipi kwa mpira gani? Au wa 11 kwa ligi ya ureno tu? Yani giant wa ligi nne bora ata ukichukua watatu kwenye hzo nchi zinakuwa 12. Waambie Fifa waludie utafiti.achana na hzio za 5 year ranking latest ni hiyo hapo niliyoweka ,naangalia hata ya FIFA hapa simba ni ya 398 duniani mazembe ya 302 sevilla ya 11
sevilla ni ya spain siyo ureno rudia utafiti wa ufikiri wa ubongo wakoSevilla wakumi na moja kivipi kwa mpira gani? Au wa 11 kwa ligi ya ureno tu? Yani giant wa ligi nne bora ata ukichukua watatu kwenye hzo nchi zinakuwa 12. Waambie Fifa waludie utafiti.
sevilla ni ya spain siyo ureno rudia utafiti wa ufikiri wa ubongo wako