nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
hii ni kwa mujibu wa list ya hadi tarehe 30 may 2019. simba ni ya 20 afrika, ya kwanza east and central africa ikifuatiwa na gor mahia ya kenya ambayo ni ya 23 afrika, ya tatu ni kcca ya uganda ambayo ni ya 27 afrika na ya nne ni rayon ya rwanda ambayo ni ya 37 afrika.