Simba SC yapelekwa CAS tena

Ni sehemu ya kudanganyia mashabiki wavimba macho wa utopwise na kujiliwaza kwa viongozi wao.Hivi wamempokea Herieth Makambo?Anyway,Leo tena kuna kesi gani?πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Reactions: mmh
Ni sehemu ya kudanganyia mashabiki wavimba macho wa utopwise na kujiliwaza kwa viongozi wao.Hivi wamempokea Herieth Makambo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Utopolo wamefikaje tena hapa! Nyie ndiyo mnafanya watanzania wengine tuonekane ni wapumbavu kwa upambavu wenu
 
Hiyo kesi ilikuwepo muda mrefu na adhabu ilitolewa ila Simba ikakata rufaa kwa sababu mawasilian yalikuwa yanafanywa kupitia kwa Senzo ambaye alishaondoka klabuni kwa hiyo Simba kama klabu haikushirikishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…